Maeneo gani unataka? Fafanuawana jamii ninashida sanaa na frem mbili. kwanza kwaajili ya biashara ya vitu vya mtaani au sokoni(food staff)
na frem kwaajili ya kukamua juice ya miwa. kwa maeneo yote ya dar. atakayefanikisha kupata frem yyt ile au zote na nikazipenda basi atapata zawadi nono. contact 0779420000
sehemu yyt dar muhimu iwe kuna mzunguko mzuri wa watu watakao hitaji huduma hizi za food stuff au juiceMaeneo gani unataka? Fafanua
Ngoja nikutafutie nikipata nitakujulishasehemu yyt dar muhimu iwe kuna mzunguko mzuri wa watu watakao hitaji huduma hizi za food stuff au juice
poa kakaNgoja nikutafutie nikipata nitakujulisha
Kuna mtu humu ndani anapangisha fremu manzese midizini, umemcheck?wana jamii ninashida sanaa na frem mbili. kwanza kwaajili ya biashara ya vitu vya mtaani au sokoni(food staff)
na frem kwaajili ya kukamua juice ya miwa. kwa maeneo yote ya dar. atakayefanikisha kupata frem yyt ile au zote na nikazipenda basi atapata zawadi nono. contact 0779420000
Sihitaji zawadi nono wala dhaifu njoo manzese Argentina hiyo huduma ni adimuWana jamii ninashida sanaa na frem mbili.
Kwanza kwaajili ya biashara ya vitu vya mtaani au sokoni(food staff).
Na frem kwaajili ya kukamua juice ya miwa. kwa maeneo yote ya Dar. Atakayefanikisha kupata frem yeyote ile au zote na nikazipenda basi atapata zawadi nono.
Contact 0779420000.
Kuna fremu zimepakana na Lake oil ulizia wahusika hapo utawapatanikifika nimuone nani?
naomba number yakoAtakae hitaji frame rangi tatu ndani ya kituo ni nzuri kwa biashara ya mpesa,tigo pesa, na simu....300,000 kwa mwezi...
wa manzese midizini dar es salaam umemcheki nani? kuna fremu nzuri katika nyumba ambayo kuna usalama mkubwa bei 120,000 kwa mwezi ukihitaji nicheki 0712212220Kuna mtu humu ndani anapangisha fremu manzese midizini, umemcheck?
kiongozi weka namba yako nikucheki...naomba number yako
Hizi ni Kazi za watu Mkuu, hapo ishu sio zawadi sema unataka maeneo gani ukaoneshwe frem...Wana jamii ninashida sanaa na frem mbili.
Kwanza kwaajili ya biashara ya vitu vya mtaani au sokoni(food staff).
Na frem kwaajili ya kukamua juice ya miwa. kwa maeneo yote ya Dar. Atakayefanikisha kupata frem yeyote ile au zote na nikazipenda basi atapata zawadi nono.
Contact 0779420000.
Atakae hitaji frame rangi tatu ndani ya kituo ni nzuri kwa biashara ya mpesa,tigo pesa, na simu....300,000 kwa mwezi...