Nahitaji feni, nipo Dar

Si kwa povu hili...
 
Aisee povu kama lotee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakazia hiyo no tano
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maandishi haya nimesita hata kukupa appointment ya kukuuzia kafeni kangu. Nayaweza kuyakoga maneno kwa kukuuzia kafeni kasiko na upepo wa kutosha. Huwezi jua.

Inatisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha kwani shi ngapi?usite mara elfu moja we vipi bhana wauzaji wametulia itakua wewe?
Acha kujimwambafai we jamaa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Are you gone mad?kwani ni nani aliyesema kutumia iphone na samsung ndo kuwin maisha
Au nani aliyekuambia kuwa nina chuki na watumiaji wa samsung!!!!nitue we jamaa

Mimi naongea na hao wenzio wanaofake maisha kwa kujidai humu kuwa wana good life kumbe hawana lolote

Ninaongea na hao wanaojidai wanatumia simu za gharama iphone and samsung good ilhali kumbe wana tecno?kwanini wasijikubali na tecno zao na kwanini wasiache kudharau wanaotumia tecno humu ilhali wenye wanazitumia lakini nyuma ya keyboard wanajimwambafai kuwa wana samsung au iphone?

Point yangu natumai umeielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Are you gone mad?[emoji777][emoji777][emoji777]
Have you gone mad[emoji818][emoji818][emoji818]
Are you mad? [emoji818][emoji818][emoji818]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Are you gone mad?[emoji777][emoji777][emoji777]
Have you gone mad[emoji818][emoji818][emoji818]
Are you mad? [emoji818][emoji818][emoji818]


Sent using Jamii Forums mobile app
Haijalishi nimepatia au nimekosea msg ishadeliva sasa si uende ukafundishe seminar tu?unapuyanga nini huku? Na kingereza chako cha form four?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh... Are you gone mad?? Waingereza naombeni samahani kwa niaba ya huyu jamaa kwa kuharibu lugha yenu....!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Update: Hatimaye nilipata kwa 22k mambo ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]full upepo tena muhusika kaitumia only 2 months bado mpya kbs.....haya mje mnipopoe tena

Mimi naitwa toplemon bhanaaa!!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepataaaah.......mambo ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
We kiumbe wa Mungu ni mshari sana
 
Sifuti wala sibadili chochote ikae kimasikini sijui kimipasho kama ulivyosema doesn't matter ujumbe ufike kama na wewe unafake life pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli usifute chochote mkuu wakomeshe, halafu kuna jamaa kasema unamaneno ya kike hajui kuwa wewe ni mwanamke, tangu lini mwanaume akawa na maneno kama hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…