Nahitaji Fast charger original

Zekoddo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
1,873
Reaction score
4,580
Wakuu,,,
Sasa nimechoshwa na haya machaja Uchwara, Simu unachaji masaa masaa 6 bado haijai.
Nisaidie Original &Fast charger kwa brand yoyote kikubwa Iwe genuine and fast na alama muhimu kuwa ni Original.. my Maximum budget ni 50,000/=
 
Kwanza unajuwa unaponunuwa simu unapaswa kuangalia uwezo wa betri?

Simu yenye betri yenye uwezo ukitoka nyumbani huwezi kutembea na charger utatumia mpaka unarudi nyumbani tena internet ikiwa on muda wote.

Elfu 50 unanunuwa chaja ya simu au transfomer?
 
Chukua Hii Itakufaa Sana Ni Super Fast Charging
 
Attachments

  • 20250410_103110.jpg
    690.3 KB · Views: 17
Wakuu,,,
Sasa nimechoshwa na haya machaja Uchwara, Simu unachaji masaa masaa 6 bado haijai.
Nisaidie Original &Fast charger kwa brand yoyote kikubwa Iwe genuine and fast na alama muhimu kuwa ni Original.. my Maximum budget ni 50,000/=
Unatumia kifaa gani? Fast charging haziingiliani
 
Shida unaweza kuuziwa chaji yenye watts nyingi ikawa tofauti na simu yako ikapeleka slow
 
Tafuta charger original za Samsung (Made in Vietnam) kama unatumia Samsung ama simu za Android na kama ni iPhone nunua charger original ya iPhone inategemea na aina ya simu na utazipata kwenye Apple Store.

Hapa nachaji simu ya Samsung

hapa simu ina chaji ya 60% kufika 100% itachukua dk 44
 
Tafuta charger za Xiaomi, ni 60w super fast charging. Binafsi natumia charger ya laptop(macbook pro 2018) kuchaji simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…