Nahitaji farasi

Wajad

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
1,321
Reaction score
605
Kuna visichana viwili vya kizungu kila siku jioni vinapitaga hapa kitaani kwangu vikiwa vimepanda farasi jike. Kwa hiyo nahitaji farasi dume haraka kwa kuwa najua atajenga urafiki na yule farasi jike, na hapo nitakuwa nimeunganishwa na vile vischana. Si unajua tena mahusiano sio lazima yaanze kwa kuombana namba za cm na addresses.
 

...kudadadeki.
Mimi nina Simba dume ila hang'ati,atakufaa?
 
Very expensive my friend dola laki mbili kwa mmoja na matunzo yake balaa. Sikukatishi tamaa ila duh ............................................................KAZI NI KWAKO...............
 
Gharama yote hiyo ni kuwapata tu hao wasicha? Mbona unajizungusha sana? Nakupa ujanja, ukiona mida yao ya kupita imekaribia unasogea kwa road then unajilaza as if ni mgonjwa,wakifika watasimama kukucheki then utatumia fursa hiyo.
Farasi ni gharama sana.
 
Halafu ukimpata huyo farasi na kutoswa!...utamchinja ule nyama???
 
Dah.... Jiamini kijana... Sogea taratibu tu utapata shavu
 
Very expensive my friend dola laki mbili kwa mmoja na matunzo yake balaa. Sikukatishi tamaa ila duh ............................................................KAZI NI KWAKO...............

Mbona tunavunjana moyo kaka?!
 

Mmh, kwato ya farasi heri kukanyagwa na catapila
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…