Nahitaji Faraja Moyo wangu Unateketea.

Kuna wanawake ambao ndoa haitawahusu hata vitabu vya dini vimesema ukute na ye ni mmoja wapo
 
Duh! Mkuu kama wewe ni mwanamke nimekupenda bure.
 
Kama unakuwa muoga wa kufanya maamuzi aisee wanawake watakusumbua sana. Anyway komaa nae huenda akabadilika, lakini ningelikuwa mimi hata namba yaake nigelikuwa nimeshafuta.[/QUOTE

Mkuu, tatizo ni kuifuta kwenye phoebook alafu ikabaki kichwani.
 
Ajira ziko nyingi na vyepesi mno kupata ila watu wanataka ajira za heshima kubwa


Tafuta vibarua mbona vingi sana tu

Mwanaume anayeogopa kuchekwa hafai wala hastahili ni bora kabisa kabisa akawa aka
 
Maswahibu yanatukuta wengi Kwa namna tofauti.Nilivyoshinda na kuimaliza siku ya Jana Mungu anajua. Pole Mkuu,relax kama mie na usimweke kipaombele huyo binti.Hawa watu ni hatari.
Wenye maumivu ya namna hiyo tupo wengi.
Mimi nimetemana na mchumba wangu ambae tumekaa kwenye mahusiano almost 6years.
 
Ofcoz yes. Ukiamua unamsahau japo inachukua muda
 
Kaka pole .kwa maelezo uliyotoa mpenz wako anasukumwa na presha za rafiki zake.
Yaani wameolewa nae anakupush ili hali akijua hali yako si nzuri.

Kaka mpaka unakuta sms ni kwamba ana force,sasa wewe mwache aende, Muombe Mungu sana,utafanikiwa. Just beleive kwamba yatapita.

One day utafanikiwa na huyu dada atakukumbuka sana.
 
Jiulize hili swali...
Hivi bila huyo mwanamkw hupumui, bila kuongea nae nitakufa..na maswali kama hayo.....
Nachokiona kwako sio kwamba unampenda huyo mwanamke issue ni kwamba unahofu na woga kama ukimwacha unaweza pata mwingine kulingana na hali uliyonayo kiuchumi...hii hofu inaweza ikawepo bila hata wewe kujua..wewe ukahisi ni upendo....
Kunamsemo unasema However good you are you will always be replaced....
Hivyo usiogope..achana nae....na amini utapata mwingine bila kutarajia....Hakuna kosa kubwa duniani kama kutojiamini au kujiona mnyonge....Achana nae..na kubali kuface maumivu..usiyakwepe kwa kunywa pombe...yaache yaje.....
 
Watu mna moyo sana hivi inakuwa vipi mtu ambaye mmekutana ukubwani akukoseshe amani ya maisha yako, achana nae.
Hivi unataka umuoe ili ugundue nini cha ziada ww ni mwanaume unapaswa uwe na maamuzi ya kiume
 
Hahahaa! Sasa unaingia Tarime Muraa[emoji6]
 
Pole sana mkuu, udhaifu wako wa kukosa sifa za mwanaume anayejiamini ndio shida sio huyo bidada.
 
Tengeneza kwanza mambo ya nyumba yako mkuu, halafu ukishakuwa vizuri ndio uoe. Kwa sasa achana na pressure
 
Hata mimi sijawahi ona mwanume weak kiasi hiki. Labda kipindi cha shule tena o level

Hata kwenye maisha ya kawaida bado napata ukakasi kama atayamudu vilivyo
Yaani sitaki kuamini ni hadithi ya kweli hii.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…