Nahitaji ERP software

Nahitaji ERP software

misasa

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
17,807
Reaction score
14,594
Salaam zenu wana jf naomba mwenye utaalamu na uelewa wa faida na hasara katika utumiaji wa software inajulikana kama enterprise resources planning(ERP) kwenye matumizi ya biashara ndogo na za kati.
 
Salaam zenu wana jf naomba mwenye utaalamu na uelewa wa faida na hasara katika utumiaji wa software inajulikana kama enterprise resources planning(ERP) kwenye matumizi ya biashara ndogo na za kati.
Subir wanakuja mda sio mlefu wataalam
 
matumizi gani unayo? zipo nyingi na kila moja ina matumizi yake.
 
Hizo software ambazo zipo tayari mfano, TALLY, QUICK BOOK n.k zina mambo mengi sana ambayo unaweza usiyatumie.. Elezea ni biashara ya aina gani unafanya tukutengenezee program kulingana na mahitaji ya biashara yako..
 
Back
Top Bottom