Nahitaji Epson printer na PC yake

Nahitaji Epson printer na PC yake

Kumbe zipo na series zake , kama nilivyo comment hapo juu mimi sina elimu ya printer ila nimepewa kazi ya kutafuta printer na pc yake
Namba ndogo na kazi chache bei ndogo yenye kazi zaidi ya 3 ina bei kubwa na namba ikiwa kubwa ila ununue Mpya ikiwa used kifaa chake wanauza laki mbili ili utengeneze na wa mjini wanakuuzia tu ili urudi ianze biashara ya fundi..
 
Ni ngumu pia mimj ina mwaka nayo wa tatu wametumia ofisini sasa hivi anayo mtoto nae anairusha rusha tu wakati majina mengine makubwa zishaaga mashindano napotoa ushauri ni kitu nilichokitumia nakijua vizuri.
Shukrani mkuu nitaizingatia zaidi maana nilitaka nichukue hp ila bei zake zipo juu
 
Asa
Namba ndogo na kazi chache bei ndogo yenye kazi zaidi ya 3 ina bei kubwa na namba ikiwa kubwa ila ununue Mpya ikiwa used kifaa chake wanauza laki mbili ili utengeneze na wa mjini wanakuuzia tu ili urudi ianze biashara ya fundi..
Asante nataka mpya yenye namba kubwa ni hiyo L series au kuna namba nyingine?
 
Asa

Asante nataka mpya yenye namba kubwa ni hiyo L series au kuna namba nyingine?
Umesema upo kijijini hiyo inayoanzia L3325 itakufaa usichukue kubwa ambayo hautakua na matumizi nayo bei zake nazo huko zimechangamka pia..
 
Aina nyingi za wino watu wameenda kutengeneza China ndio shida hiyo mimi mara nyingi nabeba hapa SA ningekua Tz ningekutumia set yake ukiona zinafaa uwe unaagiza huku ntaangalia brand ntakujulisha.
Sawa mkuu, na HP laser jet wino upi mzuri? Wa unga au toner
 
Sawa mkuu, na HP laser jet wino upi mzuri? Wa unga au toner
Toner sema una gharama kuliko kutumia mashine ya Brother FC kama nakumbuka vizuri hii kwenye printing ipo vizuri pia na inadumu kwa muda mrefu.
 
L series(3260) za eco tank ikiprint blank na wino umejaa shida nini?
Hapo kuna swala la colour Settings kama ikigoma inatakiwa service kwa mtu anaezijua HP itarudi kama kawaida wala sio big ishu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom