Nahitaji Elimu ya Video Production

Nahitaji Elimu ya Video Production

Dumelang

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
3,269
Reaction score
5,895
Waungwana naomba kujua hapa Bongo wapi kuna shule nzuri ya Video Production, Coz nataka kujikita katika fani hii baada ya kupata utaalamu. au mtu yeyote mjuzi wa fani hii na anataka kufundisha here i am. awe na kiwango cha profession
 
Back
Top Bottom