Nahitaji earphones zenye za brand na quality nzuri

Nahitaji earphones zenye za brand na quality nzuri

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
4,317
Reaction score
4,118
Huwa nasikia tu Drake beats ila nimeulizia kariakoo sijazipata hivi zinauzwa wapi?? Au kama kuna earphone nyingine kali nisaidieni wakuu
 
Jaribu kwenda kuulizia maduka makubwa ya simu na accessories kama sapna watakusaidia
 
Drake beats tena, karikoo hamna earphone kuna takataka nyingi. Earphone ingia mtandaoni utapata ila sio k.koo. Wanaleta faken cheap earpieces!
 
Kanunue kitu cha SENNHEISER hutojutia pesa yako.
senn_hd202_1.jpg
 
Back
Top Bottom