nahitaji Driver ufs+mxkey

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
heshima kwenu wakuu,natumai mu wazima wa afya,mie ninalo flashing box langu la ufs nahitaji kuflashi kwa kutumia usb cable lakini tatizo nimeshindwa kwakuwa sina driver kama kuna yeyote anajua hii namna basi anipe maelekezo ya wapi nitapata chief-mkwawa na wengineo nipeni ujanja
 
Last edited by a moderator:
Hizo Drivers unazotafuta zote ziko kwenye setup zake ndiyo maana nimekwambia nipigie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…