Kichwa cha habari kinajieleza, nahitaji distilled water, lita zipatazo mia tano. Kampuni gani inaweza kuniuzia bidhaa hiyo wakuu.
Shukran
sh 4,000=@ltrMbona umepotea mkuu, bado nahitaji hiyo bidhaa!
Hahhahaa, haya mkuu. Mara ya mwisho ameniletea supplier kwa Tsh. 1400/=, sasa hivi hana mzigo tu ndiyo maana nahangaika!