Simbamteme
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 808
- 2,169
Kwa mkazi wa Dsm..yeyote ambae ana dish la satelite,yale meupe, ya bati,la futi 8,naomba anicheki inbox tufanye biashara..nna matumizi nalo..liwe Used,sitaki jipya
Mfano wa dish hilo ni kama hilo linaloonekana kwenye picha
Mfano wa dish hilo ni kama hilo linaloonekana kwenye picha