Am new here, najua wengi wa wanawake ni wapenda pesa zaidi ila mimi nahitaji demu yeyote asiyetanguliza pesa mbele.
Make sure u r under 23 yrs down, no educational status required.
Any woman who is ready, PM me your namba.
Hao under 23 wengi ni wanafunzi..sasa nduguu unataka kuharibu watoto wa watu sio??
hahaha wee unatania...kuna demu gani utampata bila pesa....papuchi for sale ndugu yangu....au undhanai wanojipanga kona bar pekee yao tuu ndio wanaouza
Acha utoto bwana, kwan hao wanafunz ndo hawahitaji "long time relation"?
Njoo wewe sasa.
Kama unataka demu lazima utoe pesa ila kama unataka Mwanamke (rafiki/mchumba) hapo sawa
labda kwenu vijana wa sasa hakuna tofauti ila kwa sisi wa zamani kuna tofauti kubwa.Labda ni kupitwa na wakatiHivi demu wa long time relation na mchumba vitu viwili tofauti?
Okey, let me put myself clear, nahitaji mwanamke/mchumba wa maisha kwa vigezo kama nilivyotaja hapo juu.