NAHITAJI DAGAA WA KIGOMA

NAHITAJI DAGAA WA KIGOMA

jay311

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
2,932
Reaction score
2,720
Kwa kweli hawa biumbe ni wagumu kuwapata,na ukiwapata bei yake inakuwa kubwa sana kwa kilo, we are talking about more than twenty something shillings per kilo for 'dagaa',but that's not the case hapa....

Muuzaji yyte wa bei ya jumla anayeweza kuniuzia kama kilo 200 hivi naomba anicheki.Nipo dsm.
 
Mbona Kariakoo sokoni wamejaa tele. Wapo mpaka elfu 40 kwa Kg
 
Msimu wake ukifikan kilo mpaka 10000

Mpe anae kupa
 
Kwa kweli hawa biumbe ni wagumu kuwapata,na ukiwapata bei yake inakuwa kubwa sana kwa kilo, we are talking about more than twenty something shillings per kilo for 'dagaa',but that's not the case hapa....

Muuzaji yyte wa bei ya jumla anayeweza kuniuzia kama kilo 200 hivi naomba anicheki.Nipo dsm.
Unahitaji bado dagaa.. nichek watsp 0784932441
 
Back
Top Bottom