Nahitaji Critical Thinking hapa tafadhali

Mimi nimelipia huku......



Hesabu Ngumu sana aisee, na ni janga la Kitaifa,
Yaani unazidisha miaka kama unazidisha namba za kawaida?? Duh

Hapo ilitakiwa ufanye hivi,
2/3 x 24months = 16months
= 1 Year & 4 Months

0.33 ya Mwaka sio Miezi mitatu aisee,
Maana hata 0.1 ya mwaka sio mwezi mmoja, bali 1/10 x 12 = ........
 
Nimefurahi ujumbe umefika hizo bla bla zingine hata mwenyewe ukirudia kusoma hautoelewa
 
Sorry for asking? Eeh I'm just curious you know! Hivi, you and dr. Luis...the billionaire are the fraternal twins?
 
Mkuu Leo umeongea point sana
Nimeamini kumbe binadamu hubadilika sana
 

Mmmh mapishi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…