Ninayowakuu mwenye circuit ya Samsung note 5 aje tufanye biashara simu yangu imekufa circuit
Ushauri tu achana nayo kwanza nisimu ya zamani ji update hata na note 8 au 9 ingawa nazo zimepitwa na wakati..hazi receive updates...wakuu mwenye circuit ya Samsung note 5 aje tufanye biashara simu yangu imekufa circuit
kimfaacho mtu chakeUshauri tu achana nayo kwanza nisimu ya zamani ji update hata na note 8 au 9 ingawa nazo zimepitwa na wakati..hazi receive updates...
Acha huo uswahili wa kukarabati toyota stout kwa gharama wakati kuna hilux bei chee..
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us