Nahitaji cheti cha kuzaliwa kwa haraka, inawezekana?

Nahitaji cheti cha kuzaliwa kwa haraka, inawezekana?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,098
Reaction score
10,934
Salamu,wadau!

Nina umri zaidi ya miaka 45, sina cheti cha kuzaliwa.

Nahitaji kitambulisho hicho kwa dharura ili niweze kuomba passport.

Nina kitambulisho cha taifa (National ID), kitambulisho cha kazi, na TIN Number.

Je, nifanyeje kupata cheti cha kuzaliwa?
 
Salamu,wadau!
Ni Mimi ni mtu mzima ,over 45 ,Nahitaji kitambulisho chrti cha uzaliwa ,kinqhitajika kwa haraka.Issue Iko hivi nahitaji kurew passport ,sasa nahitajika kuwa na Cheti cha kuzaliwa! Nifanyeje...Nina National Id,Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi...Serikali,Tin No ...
Ulipataje vyote hivyo bila kuwa na cheti cha kuzaliwa mkuu?
 
Ulipataje vyote hivyo bila kuwa na cheti cha kuzaliwa mkuu?
Mifumo ilikuwa haijasomana mkuu! Kuwa navyo hivi vitu kulinifanya pia ni bweteke! ....kuwa nimekamilka sasa yamenikuta!Kumbuka hata Passport ninayo ila imeisha mida wake!
 
Je, nifanyeje kupata cheti cha kuzaliwa?
Kwa kuwa ni dharula basi inabidi ufanye hivi:
1. - Ingia "eRITA Portal" jisajiri
  • Upate Control number.
  • Kisha lipia.
---
2. Print fomu yako toka eRITA Portal
- Muhimu: Kawaida huwa inatakaiwa tusubirie siku kadhaa ndipo ufuate cheti, ila kwa wewe, baada tu ya kuprint fomu husika. Nenda nayo kwenye ofisi husika uliyochagua kuchukulia cheti chako, Ukifika tafuta wahuiska, eleza shidayako, watakupa mwongozo zaidi na kukuelza kipi kinawezekana na kipi hakiwezekani na ndi ndani ya muda ganmi.
1751975529364.png
 
View attachment 3398172
Habari mkuu,hivi kuprint fomu ni lazima baada ya kulipia? Halafu niisaini na kuipeleka Rita ikasainiwe na kuiscan tena ili nii upload kumalizia application?? Maana nmesha lipia halafu naambiwa dowload form..

Msaada wako mkuu please,
 
Halafu niisaini na kuipeleka Rita ikasainiwe na kuiscan tena ili nii upload kumalizia application??
  • Sio sahihi. Jaza taarifa zote kiukamilifu, lipia, Print, subiri siku 10-14, Fuata cheti.
  • Hapo unaenda kuchukua Cheti na sio wasaini fomu.
 
  • Ndio ni lazima
  • 1. Sababu kuna mahala unatakiwa usaini
  • 2. Pia unapofuata cheti chako hatua ya kwanza ni kukabidhi fomu uliyo print kisha ukasaini sehemu husika.
Ahsante mkuu. Nikisha printi nitasaini na kupeleka Rita pia akasaini ndipo ni scan na kuapload kwenye mfumo?? Ama nitasaini mimi tu kwanza sehemu yangu kisha ku scan na kuapload kwenye mfumo?? Maana kuna sehemu ya kusaini Rita wilaya ambapo nitapokelea cheti
 
  • Fanya hivyo,
  • Download fomu iliyokamilika
  • Subiri siku kadhaa
.- Nenda kachukue Cheti.
Ahsante mkuu. Kwa hyo sehemu ya ku apload document ambayo iko signed panabaki wazi??
 
Salamu,wadau!

Nina umri zaidi ya miaka 45, sina cheti cha kuzaliwa.

Nahitaji kitambulisho hicho kwa dharura ili niweze kuomba passport.

Nina kitambulisho cha taifa (National ID), kitambulisho cha kazi, na TIN Number.

Je, nifanyeje kupata cheti cha kuzaliwa?
NENDA RITA UKIWA NA VIGEZO VINAVYOSTAHILI UPEWE UNAKIPATA SIKU HIYO HIYO
 
Kuna dogo mmoja zilitoka nafas za jeshi hizi za professional na yeye hakuwa na cheti alienda kariakoo akatengeneza na sasa Yuko jeshini
 
Back
Top Bottom