Nenda soko kuu zipo kibao hasa ground floor, usiende Kule basement. Bei inaanzia 200k na kadhalika.Jamn naombeni kujuzwa maduka yanayouza cherehani kariakoo
Unataka kufungua kiwanda?
aende soko kuu kwani mtoa mada yupo arusha?Nenda soko kuu zipo kibao hasa ground floor, usiende Kule basement. Bei inaanzia 200k na kadhalika.
Soko kuu lipo arusha tu?aende soko kuu kwani mtoa mada yupo arusha?
Mkuu mi nimekuja kukupa hongera tu ya kujitosa kumiliki kiwanda cha nguo.Jamn naombeni kujuzwa maduka yanayouza cherehani kariakoo
Kasema kariakoo au mie sijamwelewa mtoa madaaende soko kuu kwani mtoa mada yupo arusha?
kasema kariakooKasema kariakoo au mie sijamwelewa mtoa mada