Jabal al cement factory,Dubai Uae(waweza ku google ukapata details za contacts)hawa jamaa wana cement nzuri sana,na cement yao ndio iliyojenga jengo refu kuliko yote duniani (Burj khalifa).Nchi jirani ya Qatar wanajiandaa na kombe la dunia hivyo demand ya cement imeongezeka sana,bei yao imepanda sasa mfuko mmoja ni Tsh 4000/ watakupa cheti chao cha ubora TBS hawatakusumbua ata kidogo..Lakini tatizo ushuru wetu pale bandarini haueleweki ata kidogo,jaribu kuwauliza wazoefu wa ku clear cement pale bandarini..ukiagiza container zima la futi 20 wawezapata kwa bei ndogo chini ya 4000 kwa mfuko..kusafirisha container la 20ft toka dubai kwenda dar ni $1600..nilituma cement wiki iliyopita,kodi niliyolipa sijui agent alinidanganya au Tra wali uplift sana,kwa container lenye cement 560 nililipa 3ml!!siku nyingine nikatuma ikawa cheap.so tafuta agent mzuri akupe makisio ukitaka maelezo zaidi tuwasiliane..cement ya Pakistan ni cheaper zaidi ya hiyo lakini kumbuka wakati wa kununua lazima wakupatie CHETI CHA UBORA ili kuepuka usumbufu wakati wa ku clear bandarini