nahitaji izo camping tents ziwe mpya na compelete.pia nahitaji portable and convertible chairs na meza pia. nipo dar es salaam. 0755 815174
Kaka kuna mzee mmoja yupo arusha kwenye kampuni ya African Walking ni fundi mzuri anashona tents nzuri sana! Kama ukitaka naweza kukuunganisha naye.