Nahitaji boyfriend

Nahitaji boyfriend

mi nipo tayari mama nitumie vocha nikupigie
 
Nipo hapa mama mwaaaah! NiPM basi tupange future yetu. Ninaishi mwanza ila now nipo Canada kidogo kwny mihangaiko yangu ya kibiashara but next month i will be there in motherland Tanzania.

Ushawahi kuendesha gari la manual transmission?

Hua tunapanga gia polepole. Chukua tahadhari lisije likakuzimikia.
 
mm ni beuti kama jina langu linavyojieleza,naishi MWANZAnahitaji boyfriend wa kimapenzi awe na sifa zifuatazo
1.umri 18-21
2.mwenye elimu
3.handsome
4.awe anaishi MWANZA
3.awe mkweli, kwa aliye tayari follow 0769645726

Sensa Hii Kujua Km Jf Kuna Teenagers
 
mm ni beuti kama jina langu linavyojieleza,naishi MWANZAnahitaji boyfriend wa kimapenzi awe na sifa zifuatazo
1.umri 18-21
2.mwenye elimu
3.handsome
4.awe anaishi MWANZA
3.awe mkweli, kwa aliye tayari follow 0769645726

Haya mama wamekusikia watakupigia watakufikia.
 
mm ni beuti kama jina langu linavyojieleza,naishi MWANZAnahitaji boyfriend wa kimapenzi awe na sifa zifuatazo
1.umri 18-21
2.mwenye elimu
3.handsome
4.awe anaishi MWANZA
3.awe mkweli, kwa aliye tayari follow 0769645726

Hivi mtaa wa makoroboi na mabatini kuna internet cafe?

Naona unatafuta wateja!
 
unatafuta handsome mwnye elimu miaka 18-21...kwel wanawake ni vyombo vya starehe umedhihirisha wazi...kwanza nakushaangaa unaonekana wewe ni gumegume mitaani kooote hawajakuona/umeshindikana ukaamua uje utupunguzie taifa letu (tena magreat thinker) kwa style hii.. unanitia mashaka kwa kuhitaj mtu mwenye vigezo uvitakavyo ww wakati vyako hujaweka.. usharii wa bure ongeza maarifa ktk biashara yako ..good advertsment nayo ni market strategy moja wapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom