Nahitaji boyfriend

Nahitaji boyfriend

Ahaa kumbe unatafuta mzinifu mwenzio,mm nilidhan unatafuta mume!
 
mm ni beuti kama jina langu linavyojieleza,naishi MWANZAnahitaji boyfriend wa kimapenzi awe na sifa zifuatazo
1.umri 18-21
2.mwenye elimu
3.handsome
4.awe anaishi MWANZA
3.awe mkweli, kwa aliye tayari follow 0769645726

Hilo BEUTI ni jina la ukoo au aka? Maana kwa mujibu wa detail zako kama ulivyozianika hapo juu inaonyesha jina tofauti na ulilotaja.
 
Last edited by a moderator:
dah..mahandsome wanafaidi...jamani....kila hitaji linawahusu wao...
 
Amka usingizini...wewe...ondoa hizo..illusion and start to live a really life..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom