Nahitaji Boyfriend toka JF awe na Sifa hizi

Sijui kwa atakayeulizwa na aliye na mpenzi from JF maana binafsi sijazungumzia kupata au kutafuta mpenzi. Hilo uwaulize wanaotafuta wapenzi JF

Unanikatishake tamaa?maana sioni cha kuhisi unaweza nikatisha tamaa....yaani from nowhere tu unamkatisha mtu anayejielewa tamaa 😲😲😲

Hivi ndio inakuwaga baadae mkishakuwa kwenye penzi unaulizwa, Mpenzi wako mlikutana wapi anajibu "Jamii forum". Unabaki na maswali mengi kwa hali ya sasa.

Ila sikukatushi tamaa...Kila la kheri Bi Khadija
 
Mwanaume hapewi vyote.
Ushauri.
Date na kila mwenye sifa unazotaka.
Na maanisha tafuta mwanaume mcheshi.
Tafuta na anayejua kingereza.
Tafuta na ambaye ni mwelewa.. Nk
Hapo ukiwajumlisha wote kwa pamoja utakuwa umeshapata unachokizungumzia
Hata hivyo "sehemu za siri ndizo zitakazoumia". (Sijui lakini)
 
I dont need to.i bet you went to read? Ha ha ha.... 😂😂😂 Ni lugha ambayo nmekuwa nayo naifahamu. Unafahamu maana ya etymological meaning? I rarely use dictionaries especially to these common words. 😁😁😁 And if i wanna use i use 21st chambers Dictionary au Oxford advanced dictionary.

Unaonekana huelewi maana ya boyfriend. Consult your dictionary
 
I dont need to.i bet you went to read? Ha ha ha.... 😂😂😂 Ni lugha ambayo nmekuwa nayo naifahamu. Unafahamu maana ya etymological meaning? I rarely use dictionaries especially to these common words. 😁😁😁 And if i wanna use i use 21st chambers Dictionary au Oxford advanced dictionary.
lugha ina tatizo hapa nimegundua kitu
 
Dada ni wapi nmeandika kuomba nisaidiwe kutafuta rafiki? Naona wewe ndo umetoka povu. Mimi nmeandika kutafuta mwenyewe aje. Wewe unasema nmeomba nitafutiwe.... Na hapo dada yangu nimeandika kiswahili chepesi kabisa hivi hujanielewa? Jamani au swaumu?

dada kuna mahali umeona nimeandika natafuta rafiki jf wewe si ndiyo umetuomba tyukusaidie kutafuta mbona povu kali tena???
 
Mwanaume hapewi vyote.
Ushauri.
Date na kila mwenye sifa unazotaka.
Na maanisha tafuta mwanaume mcheshi.
Tafuta na anayejua kingereza.
Tafuta na ambaye ni mwelewa.. Nk
Hapo ukiwajumlisha wote kwa pamoja utakuwa umeshapata unachokizungumzia
Hata hivyo "sehemu za siri ndizo zitakazoumia". (Sijui lakini)
Mwambie unakoishia uchawi was kizungu (sayansi) ndo uchawi wa kiafrika unapoanzia
 
Dada ni wapi nmeandika kuomba nisaidiwe kutafuta rafiki? Naona wewe ndo umetoka povu. Mimi nmeandika kutafuta mwenyewe aje. Wewe unasema nmeomba nitafutiwe.... Na hapo dada yangu nimeandika kiswahili chepesi kabisa hivi hujanielewa? Jamani au swaumu?
halafu unao unajinsia mbili ya ke na me maana mwanamke hajafundishwa kuwa jeuri kiasi chako halafu mimi siyo ke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom