LECTURER Tobe
New Member
- Aug 16, 2018
- 3
- 0
Habari za muda huu wapendwa. Ninaulizia blender original nazipata kampuni gani na kwa shilingi ngapi?
Blender nzuri kabisa ni Kenwood inadumu sana ukitunza.Habari za muda huu wapendwa. Ninaulizia blender original nazipata kampuni gani na kwa shilingi ngapi?
Kuanzia tshs 60,000/= kwa DSM hususani maeneo ya Kariakoo. Hata kwenye supermarkets na moles pia zipo. Na pia zimeenea nchi nzima.Hiyo naipata kwa shilingi ngapi
Vitu vingi vya Kenwood ni original nenda kwenye maduka yanayoaminika ya dealers wakubwa.Tulitaka kununua Kenwood kwa matumizi ya familia tukapewa angalizo kwamba Kenwood zipo origional na fake, utazijuaje? Tumeshauriwa tutafute BISH BLENDER tukaambiwa hizo ni brand mpya na Imara na hazijachakachuliwa, wadau mnazifahamu hizi BISH BLENDER? Ahsante
Ahsante kwa mwongozoVitu vingi vya Kenwood ni original nenda kwenye maduka yanayoaminika ya dealers wakubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Blenders tunazo high performance ni laki tatu na nusu tupigie 0762612213Ahsante kwa mwongozo