Ni check PM kama twaweza fanya biasharaNatangliza shukrani naamini nitasaidika
faida ya btc ni kuwa zinapanda thamani kila siku.. kwa mfano ukinunua btc 1 ambayo thamani yake ni zaidi ya 1000$ baada ya muda unaweza kuja kuiuza kwa bei zaidi ya hiyo.Anaelewa Mambo haya adondoshe uzi ili tuamke na sisi. Zina faida na hasara zipi hizi BITCOINS?
Anaelewa Mambo haya adondoshe uzi ili tuamke na sisi. Zina faida na hasara zipi hizi BITCOINS?
Nilisikia hawa jamaa walishafungasha vilago......take care jombaHabari wanajf, nahitaji 0.035 Bitcoins. Kwa mtu alie na bitcoins naomba anitumie nami nimtumie cash katika TZS. Pia kama kuna mtu anafahamu jinsi ya kununua online (over the internet) naomba anijuze hata ikiwa katika dollars.
Tuwasiliane 0673 926 611
NitafteHabari wanaJF,
Nahitaji 0.035 Bitcoins. Kwa mtu alie na bitcoins naomba anitumie nami nimtumie cash katika TZS. Pia kama kuna mtu anafahamu jinsi ya kununua online (over the internet) naomba anijuze hata ikiwa katika dollars.
Tuwasiliane 0673 926 611
Ingia Localbitcoin.com wamejaa tele.Natafuta anayeuza BTC wakuu
unapanua wigo baada ya forex?Natafuta anayeuza BTC wakuu
unapanua wigo baada ya forex?
ahhahaha Unikumbuke kwenye ufalme wakoYaah... Ni mwendo wa Forex + Cryptos mpaka niwe Bilionea.
I swear
Mkuu mbona nasikia forex imeshakunyonya????Yaah... Ni mwendo wa Forex + Cryptos mpaka niwe Bilionea.
I swear