minze manonu
Member
- Nov 27, 2013
- 50
- 16
Ndugu wana janvi, habari zenu. Mim ni Mtz ninaish Dar na ndoto yangu ni kumuoa msukuma au mnyantuzu ila kwa mazingira ya hapa mjini wamekuwa adimu sana kuwapata, mpaka nataman kuhamia Mikoa ya kanda ya ziwa kama Shy, Mza, Simiyu na Geita. Kama wapo hapa mjin tafadhali jitokezen nitimize ndoto yangu