jogoo kishingo
Member
- Jul 10, 2015
- 13
- 1
Sasa si uende tu mbeya?
Hizi ni sifa za mwanamke unayemtaka... Ingekuwa vizuri kama na ww ungesema sifa zako ili huyoo mwanamke anapoku pm awe anajua ana mp mtu wa namna gani.. Kuwa open... Wanakujaaa hao..
Hivi unataka anayetoka Mbeya tuu au wa makabila ya Mbeya?Halafu unamtakia nini?Je,kuoa, binti wa kazi au rafiki wa lipenseli?Funguka mkuu!
Nahtaji binti mwenye sifa zifuatazo:
1.MREFU but sio saana.
2.blackbeauty, mweupe, maji ya kunde. awe na kashepu, si manyama uzembe
3.umri 18-24
4.awe anajua maisha, so mtu wa kuwaza club na kujirusha all the the time.
5.awe ameajiriwa au ni mtu wa mishemishe ili kuimarsha kipato chetu
6.hata akiwa mwanafunzi so mbaya, ila awe na akili ya kujielewa tu!
kama kuna binti aliye tayar kuwa nami Anipm! ili tufahamiane zaidi.
Kuna Binti mmoja namfahamu. Vipi nikupe contact zake muwasiliane?
1. Anaishi Dar kwa sasa, ila ni wa kutoka Mbeya kabila Mnyakyusa kwa kuzaliwa
2. Ana umri wa Miaka 24 kwa sasa
3. Ni black beauty
4. Ana Bonge la shape wewe mwenyewe ukimuona utamkubali.
5. Ni mwongeaji na mwenye sitaha
6. Anaendesha maisha yake mwenyewe kwa hiyo anajua maisha, sio mwajiriwa
7.Sio Mwanafunzi, ni mama wa watoto wawili. Kwa hiyo una uhakika wa kuzaa nae mkioana.
8. Mkishaoana tu unaanza kuitwa Baba kwani tayari ana watoto, utakuwa na watoto wa kufikia
9. Ni mvumilivu.
10. Ana heshima na staha.
Ukiwa tayari ukikubariana na hizo sifa nambie nikupe contact mlianzishe la watu wa Mbeya.
CC. The Boss, kelvin09, Moisemusajiografii
pm, namba zake, kama yupo vzuri bado ana mvuto kwann nimzibie riziki yake?
Hizi ni sifa za mwanamke unayemtaka... Ingekuwa vizuri kama na ww ungesema sifa zako ili huyoo mwanamke anapoku pm awe anajua ana mp mtu wa namna gani.. Kuwa open... Wanakujaaa hao..
sijui umekula maharage...we nenda mbeya basi maana dar tupo mchanganyiko sana
Poa mkuu, ngoja nicheck nae jioni, nimpe intro kidogo ya hii issue akikubali nitoe namba zake kwako naku-PM.
Si unajua kutoa details za mtu bila ridhaa yake ni nouma.
Aliye zaa, mhhhhh
huyo jamaa kasema aliyezaa, hakuelewa kichwa cha thread, BINTI ni yule ambaye bado hajazaa, MWANAMKE, ni yule mwenye mtoto tayar!