Nahitaji battery ya gari dry cell.

BRO SANTANA

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
1,845
2,248
Wakuu kwema?
Nina gari yangu toyota runx natumia battery ya maji n40 sasa inanisumbua sana.
Kila naada ya siku 4 lazima nipeleke chaji masaa 12.
Nimebadilisha maji lkn bado.
Naomba kujua bei ya dry cell n40 na je naweza tumia n50?
 
Nenda Quality motors Nyerere Rd utapata Betri nzuri kutoka India dry cell N 70 shs 210000 na N 40 chini ya hapo kwa mbali nadhani 160000
 
Wakuu kwema?
Nina gari yangu toyota runx natumia battery ya maji n40 sasa inanisumbua sana.
Kila naada ya siku 4 lazima nipeleke chaji masaa 12.
Nimebadilisha maji lkn bado.
Naomba kujua bei ya dry cell n40 na je naweza tumia n50?
usiwe na pesa chini ya 150k
 
Back
Top Bottom