Nahitaji bata bukini pls....nipo dar

Nahitaji bata bukini pls....nipo dar

mkuu karibu katika tasnia...,ila nikupe angalizo....fuga bukini kwaajili ya mapambo, ni mgumu sana kumfanya awe mdege wa kibiashara....
Mkuu si-unaweza kufuga kwa ajili ya kuwala/mboga? au Hawaliwi?
 
Mkuu si-unaweza kufuga kwa ajili ya kuwala/mboga? au Hawaliwi?

wanaliwa, ni wazuri sana....ila ni familia ngapi za watanzania wanaoweza kula kitoweo cha laki mbili...ambayo ni sawa na mbuzi wawili. lazima tuangalie sana upande wa soko na aina ya wateja tunaowalenga kabla hujaamua kufanya ufugaji wa aina flani ya ndege. mara nyingi wanunuzi wa bukini huwatunza na kuwauza kama mapambo na si kwaajili ya kitoweo.
 
  • Thanks
Reactions: Ntu
mkuu karibu katika tasnia...,ila nikupe angalizo....fuga bukini kwaajili ya mapambo, ni mgumu sana kumfanya awe mdege wa kibiashara....

Ni rahisi sana kwa biashara mkuu hawafi ovyo then life span yao ni 25 yrs
 
Mkuu nisaidie, mayai yake yanatotolewa baada ya muda gani na kwanini wanauzwa bei kubwa sana?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
mkuu mayai yako ila kama utahitaji nitakuambia take at your own risk
 
Back
Top Bottom