yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,927
- 4,199
Mwenye baiskeli yenye hali nzuri naomba anichek tufanye biashara.
Ninahitaji ili niiwekee carrier kubwa kwa ajili ya kubebea vimmizigo vidogo vidogo ofsini kwangu.
Hii ni kwa waliopo dar tu.
Sample ni kama hizi;
Ninahitaji ili niiwekee carrier kubwa kwa ajili ya kubebea vimmizigo vidogo vidogo ofsini kwangu.
Hii ni kwa waliopo dar tu.
Sample ni kama hizi;