Nahitaji baiskeli used ya mtoto namba 12

Nahitaji baiskeli used ya mtoto namba 12

Uswe

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,204
Reaction score
627
Nahitaji baiskeli ndogo ya mtoto.

Mtoto ni miaka 3, baiskeli iwe namba 12.

mwenye nayo aniPM au text 0754730813.

offer: 50,000/=
 
Mwanangu amekuwa nataka kumbadilishia,tatizo sijui mambo ya number.Yeye ana 7yrs ila ya Kike Pink colour
 
Nahitaji baiskeli ndogo ya mtoto.

Mtoto ni miaka 3, baiskeli iwe namba 12.

mwenye nayo aniPM au text 0754730813.

offer: 50,000/=

Kichwa cha habari kina-suggest kuwa unatafuta baiskeli ya mtoto wako wa 12!
 
Mtumba safi umeshuka jana toka japan hapa mlimani city opposite na Kakobe church njoo uchagua baiskeli makini ya ukweli shukia kituo cha lufungila
 
Back
Top Bottom