Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,301
Mkuu naomba nipigie simu ama nitext Namba yako nnauhakika hatutashindwana kila mtu namuuzia kutokana na anavyojieleza so bei haziko fixed..karibu sanaBei gani unauza
Mkuu naomba nipigie simu ama nitext Namba yako nnauhakika hatutashindwana kila mtu namuuzia kutokana na anavyojieleza so bei haziko fixed..karibu sanaBei gani unauza
Eneo utapata nitext au nipigie kabla ya kununua unaenda kupaona usafiri ni juu yangu.Nahitaji ekari nne square 140m kwa 140m utaniuzia Tsh ngapi?
Nipigie makoyo eneo lipo la kutosha bei sio fixedBei?
Nina ekari tatu zipo Morogoro, km 20 toka Msamvu kuelekea Dododma, km 5 toka barabara kuu ya Dodoma.Kipo karibu na kiwanda cha kusindika nyama. Kila Ekari nauza laki tano.Simu yangu:0713-039875Naitaji aridhi heka 5
Iwe dar,au mkoa wa jirani na dar
Iwe imepimwa
Budget yangu ni 10m.
Kwa mawasiliano zaidi nicheki inbox
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Habari zenu Wanajamvi?Naitaji aridhi heka 5
Iwe dar,au mkoa wa jirani na dar
Iwe imepimwa
Budget yangu ni 10m.
Kwa mawasiliano zaidi nicheki inbox
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums