Nahitaji Arbitrage software maker

Nahitaji Arbitrage software maker

Mgaigai

Member
Joined
Nov 20, 2021
Posts
52
Reaction score
82
Habari zenu WanaJf,Kama kichwa Cha uzi kinavyosema.Anahitajika mtajwa hapo juu (serious business). Maelezo zaidi pm yangu ipo wazi.

Nb: Sihitaji madalali Wala wanaojifunza, nahitaji wenye uzoefu.

Karibuni.
 
mkuu hakunaga software developer asiyejifunza hata awe na experience muda gani... Kwan techology inabadilika haraka sana

Mfano, nimeshirik kwenye project ya AI watu walikuwa na PHD zao na miaka kibao ya experience... Ila tulitumia week mbili zote kuanza kujifunza.....
 
Nimemaanisha ambaye amewahi kutengeneza software za watu wengine na zinafanya kazi kweli bila ya shida yoyote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom