Nahitaji AMEC ENGINE kwa ajili ya Karasha la Kokoto

Nahitaji AMEC ENGINE kwa ajili ya Karasha la Kokoto

lwidia2k

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2018
Posts
620
Reaction score
1,300
Habari za asubuhi wana jamvi. Ni Mara nyingine Tena nakuja kwenu nikihitaji msaada wenu na mawazo yenu. Nahitaji AMEC engine kwa ajilii ya kuendeshea karasha la kokoto. Kutokana na uchumi kua tight nahitaji used lkn iwe katika Hali nzuri (inayokubali services).
Engine yenyewe Ni Kama hapo pichani.

Pia, Kama unazifahamu vzr unaweza nishauri ipi Ni Bora zaidi kwa kazi nzito Kama hizo za kusaga mawe kua kokoto.

Screenshot_20210529-030236.jpg
 
Hiyo pichani ni JD, sio mbaya Amec Zipo ila hujafafanua baadhi ya mambo kama vile uwezo yaani HP ngapi?, upo wapi? Bajeti yako ni kiasi gani.
 
Sawaaaa mkuu nahitaji hiyo engine, used angalau iwe na horse power 24 had 28 au zaidi. Rpm kuanzia 2000.
( Nahitaji engine kubwa ya duzaini hyo) bajeti yangu isizidi laki 6. Ila maongezi yapo.
 
Hiyo pichani ni JD, sio mbaya Amec Zipo ila hujafafanua baadhi ya mambo kama vile uwezo yaani HP ngapi?, upo wapi? Bajeti yako ni kiasi gani.
Mkuu naweza pata amec kwajili ya matumizi ya shambani horse power 20
 
Mkuu naweza pata amec kwajili ya matumizi ya shambani horse power 20
Mkuu mimi ninayo complete nicheki 0656299246 nikutumie picha HP 20 niliinunua nikaiwasha kama miez 3 tu sijaitumia tena. Ipo complete na pamp yake.
 
Back
Top Bottom