Ushauri juu ya kununua gari ya kuvutia mashine yangu

lwidia2k

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
616
1,268
Habari za asubuhi Wana JF. Ni Imani yangu kua mko wazima wa afya katika kusukuma hili gurudumu la maendeleo. Kwa wale wenye hitilafu za kiafya Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi.

Nakuja kwenu kuomba ushauri kwa Mara nyingine tena, Mara ya kwanza nilihitaji compressor machine ya migodini nashukuru niliipata ya Bei nafuu na nzuri kwa kazi ingawa changamoto bado napitia.

Kwa Sasa nahitaji gari ndogo kwa ajili ya kuvutia mashine yangu kwenda nayo site ninakopata kazi. Mpaka Sasa natumia gari ya kukodi aina ya Suzuki carry (kirukuu). Lkn changamoto Ni kubwa hasa kwenye barabara mbovu za vijijini tuna kwama Sana site.

Kutokana na uchumi kua mdogo kwangu nikashauriwa nipate escudo old model milango mitatu ambayo Ni manual na yenye four-wheel (4WD).

Je kwa budgeti ya milioni 3, naweza kupata gari ya aina hyo, isiyokua na changamoto Sana, matatizo madogomadogo nitafanya service mwenyewe.

Na sababu nyingine Ni kuanza kupishana kimaslahi na mwenye gari ninae Kodi kwakwe kwani amekua akinipandishia Bei Mara kwa Mara.

Hatuibebi au kuipakia ndani ya bodi la gari, Hua tunaivuta kwani mashine yenyewe Ina matairi mawili.
Mashine yenyewe Ni Kama ifuatavyo hapo pichani.

IMG_20200501_145623_8.jpg
 
Mashine ni kwaajili ya kazi gani hiyo ?
 
Uliipata hiyo suziki kwa bei gani mkuu???? Na je inaperform???
Mimi ninaishi nje kidogo ya mji wa arusha, kuna kama 3kms za rough road ambayo kipindi cha mvua inakua na tope kidogo, je hiyo escudo itafaa boss.?
 
Hii niliipata kwa milioni 3 kamili tu, nashukuru chombo iko safi kabisa inauwezo Sana, just imagine navutia hiyo mashine napita Hadi kwenye tope napanda vigongo vya maana. Ziko vzr Sana kwa rough road za vijijini na mashambani
 
Hio chombo hua ni roho ya paka na 4wd yake hua ni ya ukweli kinoma.
 
Hii niliipata kwa milioni 3 kamili tu, nashukuru chombo iko safi kabisa inauwezo Sana, just imagine navutia hiyo mashine napita Hadi kwenye tope napanda vigongo vya maana. Ziko vzr Sana kwa rough road za vijijini na mashambani
ulaji wa mafuta ukoje ukiwa unavuta mashine na gari ikiwa yenyewe bila mashine? ni manual?
 
Ulaji wa mafuta uko very Fair sijajua kwa zile zenye 6cylinder ambazo ni outo. Nikivuta mashine ulaji wa mafuta unaongezeka coz natembelea namba moja na mbili Sana, maana naingia Sana vijijini.
Gari ni manual
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Back
Top Bottom