Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
Ok ni pm...ushawahi kuishi nigeria?Kati ya mambo tunayokosea ndo hayo huwezi weka mambo yako ya kibiashara kila mtu aone ungekuwa serious unge PM tukapeana mawasiliano tukakutana ndo nikuambie hizo pesa ni za kufanyia nini si kila mtu anayeweka jambo hapa ni mzaha watu tuko kikazi zaidi wanaoendeleza mzaha watabaki hapo walipo
Kuna wazo la biashara ukiweka hapa kabla wewe hujapata mtaji wa kuifanya mwenye uwezo tayari analifanya na tayari unakuwa umeharibiwa mpango wako