October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,631
- 5,023
Nieleze hii
Njoo uchukue lita moja kwa 30 tu vikopo Mia tano tano ukiuza kimoja buku tano thank me later usiwek Bei kubwa snaNieleze hii
Sasa nauri ya mpaka huko na kununua izo koki sindio pesa nayohitaji hapa.Nenda TANDAMTI, nunua koki za mabomba, peleka MISUGUSUGU mpk VIGWAZA, Kule watu wana Ndoo na Madumu, hawana koki! thank me later
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi hiki ninahitaji pesa sana za kuniwesha kukamilisha niliyoyapanga.
Nahitaji Deal/Mchongo wowote wa muda mchache utaonipa Minimum ya hata 70,000/= huu hata ukichukua week mzima kukamilika.
Aliye na Connection na Mishe anijuze huwenda hicho kihasi kikaenda badili Economic Status yangu for years later.
Sasa nauri ya mpaka huko na kununua izo koki sindio pesa nayohitaji hapa.
ha ha ha Kwani mkuu,dua sio muhimu?
😛😛😛😛😎😕
Shukrani Cheaf.Dua kaka... Huyu ni jamaa yetu ana hitaji lake moja muhimu sana anahitaji kulifanya
Jr[emoji769]
Mkuu nitashea Some Documents kwako kama hutojari.Dua kaka... Huyu ni jamaa yetu ana hitaji lake moja muhimu sana anahitaji kulifanya
Jr[emoji769]
Mkuu nitashea Some Documents kwako kama hutojari.
ila yeye anahitaji helaDua kaka... Huyu ni jamaa yetu ana hitaji lake moja muhimu sana anahitaji kulifanya
Jr[emoji769]
Uza smartphone nunua Nokia ya tochi na chenji itabaki.afu ndo angalia mambo mengineKipindi hiki ninahitaji pesa sana za kuniwesha kukamilisha niliyoyapanga.
Nahitaji Deal/Mchongo wowote wa muda mchache utaonipa Minimum ya hata 70,000/= huu hata ukichukua week mzima kukamilika.
Aliye na Connection na Mishe anijuze huwenda hicho kihasi kikaenda badili Economic Status yangu for years later.
Wakuu humu JF,Kipindi hiki ninahitaji pesa sana za kuniwesha kukamilisha niliyoyapanga.