Emeka Onono
Senior Member
- Jul 3, 2011
- 114
- 15
Wana jf anaefahamu namna gan ntaweza kuunganisha internet ya tigo kwenye cm,mana nimejaribu kutuma ujumbe mfupi wa neno WAP na aina ya simu na model kwenda 500 lakin imekataa,msaada tafadhal

Tuma neno ALL kwenda 15006 kama ikizingua niambie nikupe maujanja mengine.

Upo sahihi Mkuu! Naunga mkono ushauri wako. Ila kama ni mchina atadunda.