Nahitaj kuunganisha internet ya tigo kwenye simu yangu

Emeka Onono

Senior Member
Jul 3, 2011
114
15
Wana jf anaefahamu namna gan ntaweza kuunganisha internet ya tigo kwenye cm,mana nimejaribu kutuma ujumbe mfupi wa neno WAP na aina ya simu na model kwenda 500 lakin imekataa,msaada tafadhal

Tuma neno ALL kwenda 15006 kama ikizingua niambie nikupe maujanja mengine.

Upo sahihi Mkuu! Naunga mkono ushauri wako. Ila kama ni mchina atadunda.

sio mchina mkuu,nikitumia voda napata internet,ila nataka ya tigo sababu nataka kutumia line ya tigo

Tuma neno ALL kwenda 15006 kama ikizingua niambie nikupe maujanja mengine.

mkuu saju b,nimejaribu ulivyonielekeza imekataa nipe hayo maujanja mengne

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom