habari wadau nina imani humu wapo watu wanao angalia series inayoonyeshwa azam tv inayotiwa secrets inaonyeshwa kuanzia saa nne kamili usiku ,huenda kuna wengine mtakua mmeshaiona kabla haijaonyeshwa na azam tv please naomba mnisaidie link itakayo nisaidia niweze kuipata .natanguliza shukrani zangu