Nahisi vitu vinanitembea mwilini, naombeni msaada

Jaribu uende kupima hospitali huenda uanyo minyoo kama huna minyoo utakuwa unao uchawi mwilini mwako . kama uanyo minyoo kula nyanya tia na unga wa pilipli mtama kijiko 1 kidogo ndani ya nyanya mbichi ule asubuhi na jioni kw amuda wa siku 5 kamaniminyoo yote itakufa kama hujapona nitafute nikutibu maradhi yako. Ukihitaji matibabu toka kwangu Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Asante sana
 
T
Dah! Mkuu Umerogwa Wewe Jamaa Kakuingizia Mjusi Mwilini Mwako..... Uliwahi Kugonga Mke Wa Mtu?
Tanzania kuna mke wa mtu kweli ? Mbona kila ninaemtongoza anakubali ? Nininihii walokole. Wavaa hijab. Wanaojiita wameolewa na vibopa hata wadada wa chuo na Dada poa. Wote hawana pingamizi.
 
Ni upingufu wa vitamins wa hali ya juu, tumia dawa hizi neurobion, au neurosaport. Au neuroton
 
Kunasiku nilisikiliza redio nikamsikia mtumishi wa Mungu anafundisha kuwa nibdalili ya nguvu za giza nilifunga siku tatu na maombi vikapotea hadi leo
Mine eyes hii hapa, inakuhusu soma utaelewa hilp tatizo ni maombi tu
 
Nimekuwa na tatizo hili kwa muda sasa
kila nikiwa mahari nimekaa au nimelala, ghafla nakuwa nahisi kama mdudu ananitembea sehemu fulani ya mwili! nikitizama naona ni kwenye mshipa wa damu, kitu kinatembea ndani ya mshipa wa damu kisha kinatulia!
inakuwa inanitokea sehemu mbalimbali za mwili kasoro kichwani! Wataalamu naombeni msaada hili jambo linanikera mno!
Labda itakua cholesterol zimeyeyukia kwenye mshipa wa damu so damu ikitembea inabeba na hivyo vibonge bonge vya mafuta. Ukienda hospital kufanyiwa checkup itapendeza zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom