Nahisi vitu vinanitembea mwilini, naombeni msaada

Nahisi vitu vinanitembea mwilini, naombeni msaada

Vipi havifanani na vile kama kwenye ile movie the Mummy wadudu bugs weusi wakizama ngozini wanazunguka mwili mzima... Wakitaka kutoka hutokea mdomoni dawa yake ni moto
 
Pole sana mkuu, kwanza nenda hospital kwa vipimo na kama hawatagundua tatizo lolote ,anza kufikiria mazingira unayoishi(sifa ya mkoa kama sumbawanga etc, matendo yako ktk jamii kama unatoka na mke/mume wa mtu, na mahusiano na majirani, bifu na frndz etc, na mwisho rudi kitamaduni zaidi) nadhani hapo utakuwa umenielewa.

Note: kuna magonjwa mengine huponywa kwa tiba mbadala/asili tu
 
Magonjwa ya namna hiyo ndo utajua tz akuna madoctor watakwambia ni magonjwa ya akili na wakipima watakwambia una tatizo lolote madoctor wa kitanzania ni mambumbumbu wa kufa MTU nina uzoefu nao sana akili zao zinatosha kutibu malalia tu stupid manki
Au watamwambia apunguze mawazo,madokta wengi wa hapa bongo ni pasua kichwa.
 
Pole sana mkuu, kwanza nenda hospital kwa vipimo na kama hawatagundua tatizo lolote ,anza kufikiria mazingira unayoishi(sifa ya mkoa kama sumbawanga etc, matendo yako ktk jamii kama unatoka na mke/mume wa mtu, na mahusiano na majirani, bifu na frndz etc, na mwisho rudi kitamaduni zaidi) nadhani hapo utakuwa umenielewa.

Note: kuna magonjwa mengine huponywa kwa tiba mbadala/asili tu
Nakuelewa Boss//
 
Hayo ni mapepo hata mie ilishawahi nitokea kunawakati nilikua naona kama shati imelowa na imeganda kwa ngozi kumbe wala,au kitu kinapita taratibu kwenye mwili ukipagusa panatulia
 
Hayo ni mapepo hata mie ilishawahi nitokea kunawakati nilikua naona kama shati imelowa na imeganda kwa ngozi kumbe wala,au kitu kinapita taratibu kwenye mwili ukipagusa panatulia
Ulitoaje sasa?
 
PERIPHERAL NEUROPATHY

Is a damage or disease affecting nerves which may impair sensation, movement, gland or organ function, or other aspects of health depending on the type of nerve affected.

Common causes include systemic diseases (such as diabetes, leprosy), vitamins deficiency, medication (e.g chemotherapy), traumatic injury, excessive alcohol consumption, immune system disease or infection, or it may be inherited (present from birth).

This is the most likely diagnosis, endelea kwenda kwa waganga au wachungaji ukaombewe ili hao wadudu waendelee kukutembea mwilini..... vinginevyo labda vidudu ulimaanisha viroboto.

Usile Mbegu.
 
Mkuu huwa unatumiaga mdudu a. k. a Noah?
 
Huyo mdudu ni hatari sasa inabidi umeze nyoka ili aende aka mfukuze huyo mdudu atoke nje au amle huko huko, ukisha mmeza nyoka acha mdomo wazi ili mdudu aone pa kutokea. Usipo pona nahama jf mimi
Mambo mengine bwana, mwenzio yuko serious anataka asaidiwe lakini unaleta utani, kwani usinge comment ungepungukiwa nini?
 
Ukitaka kujua kuwa madaktari wa kibongo ni "desa oriented",ugua magonjwa ambayo siyo common kwenye jamii.

Ni wababaishaji mno ndiyo maana waganga wa kienyeji wanasoko kubwa.
 
Mm niliwaipata tatizo kama hilo LA kusikia vitu vinatembea mm mwilini nikaemba muhimbili ilikuwa shida si mchezo wakaanza kuniuliza bangi unavuta ngapi na kunichalenji una A.K.A jina gani mm sikuwa mpuuzi nikalazimisha vipimo kwa nguvu mana ukiwasikiliza watakuandikia na kukupa madawa jinsi wanavyo hisi wao na kukupotezea muda bure
 
Tatizo geni ,kitu kinachoweza kutembea kayika mshipa w damu si ni damu tu,sasa pengine una blood clots,
yaani damu yako hugana vibonge ,lakini tena ungeweza kupata stroke kama ni vibonge vya damu,
au pengine unahisi viko kwenye mishipa wakati viko kwenye nyama,yaani tissue.
Hujasema inatokea sehemu zipi,mikononi,mgogoni,miguuni au kifuani?
 
Back
Top Bottom