American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 667
- 944
Mungu wangu! hata pombe siijui maishani mwangu, sijawahi kutumia madawa yoyote doctorHiyo inaitwa. WITHDRAWAL SYMPTOMS. Yaani ulitumia madawa ya kulevya halafu ukaacha ghafla. Lazima upate hilo tatizo na ndio maana wengi wanashindwa kuacha. Nakupongeza kwa kuacha japo nahisi sababu ni kwamba buzi limekata kamba na kutokomea kusikojulikana baada ya kuona hujatulia
Zitakuwa NYEGE kama mwanaume kimbia kwa demu wako km ke go to yr bf.Nimekuwa na tatizo hili kwa muda sasa
kila nikiwa mahari nimekaa au nimelala, ghafla nakuwa nahisi kama mdudu ananitembea sehemu fulani ya mwili! nikitizama naona ni kwenye mshipa wa damu, kitu kinatembea ndani ya mshipa wa damu kisha kinatulia!
inakuwa inanitokea sehemu mbalimbali za mwili kasoro kichwani! Wataalamu naombeni msaada hili jambo linanikera mno!
Viroba Christmas hii vitakuuaHuyo mdudu ni hatari sasa inabidi umeze nyoka ili aende aka mfukuze huyo mdudu atoke nje au amle huko huko, ukisha mmeza nyoka acha mdomo wazi ili mdudu aone pa kutokea. Usipo pona nahama jf mimi
Viroba Christmas hii vitakuua
We hata nae mgonjwa unam mendea!Pole sana fika hospital ufanyiwe uchunguz, kama utaweza njoo private tuzungumze vitu baadhi na tupeanee Ushauri,,,,,,
Kuwa na adabu,,, hapa tunaeheshimianaa Sion Facebook au hinstagramWe hata nae mgonjwa unam mendea!
Hapana ndugu zangu sina hiyo shidaZitakuwa NYEGE kama mwanaume kimbia kwa demu wako km ke go to yr bf.
serious?!Huyo mdudu ni hatari sasa inabidi umeze nyoka ili aende aka mfukuze huyo mdudu atoke nje au amle huko huko, ukisha mmeza nyoka acha mdomo wazi ili mdudu aone pa kutokea. Usipo pona nahama jf mimi
It was just a joke broserious?!
DuhMagonjwa ya namna hiyo ndo utajua tz akuna madoctor watakwambia ni magonjwa ya akili na wakipima watakwambia una tatizo lolote madoctor wa kitanzania ni mambumbumbu wa kufa MTU nina uzoefu nao sana akili zao zinatosha kutibu malalia tu stupid manki
AsantePlease fika hosp ufanyiwe vipimo
Jamaa apo juu mganga wa kienyejiMungu wangu! hata pombe siijui maishani mwangu, sijawahi kutumia madawa yoyote doctor
Hilo tatizo alilolisema nimelion online ni kweli linahusiana na madawa ya kulevya ambayo mimi sijawahi kutumiaJamaa apo juu mganga wa kienyeji