Nahisi vitu vinanitembea mwilini, naombeni msaada

American nigga

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
665
941
Nimekuwa na tatizo hili kwa muda sasa
kila nikiwa mahari nimekaa au nimelala, ghafla nakuwa nahisi kama mdudu ananitembea sehemu fulani ya mwili! nikitizama naona ni kwenye mshipa wa damu, kitu kinatembea ndani ya mshipa wa damu kisha kinatulia!
inakuwa inanitokea sehemu mbalimbali za mwili kasoro kichwani! Wataalamu naombeni msaada hili jambo linanikera mno!
 
Hiyo inaitwa. WITHDRAWAL SYMPTOMS. Yaani ulitumia madawa ya kulevya halafu ukaacha ghafla. Lazima upate hilo tatizo na ndio maana wengi wanashindwa kuacha. Nakupongeza kwa kuacha japo nahisi sababu ni kwamba buzi limekata kamba na kutokomea kusikojulikana baada ya kuona hujatulia
Mungu wangu! hata pombe siijui maishani mwangu, sijawahi kutumia madawa yoyote doctor
 
Nimekuwa na tatizo hili kwa muda sasa
kila nikiwa mahari nimekaa au nimelala, ghafla nakuwa nahisi kama mdudu ananitembea sehemu fulani ya mwili! nikitizama naona ni kwenye mshipa wa damu, kitu kinatembea ndani ya mshipa wa damu kisha kinatulia!
inakuwa inanitokea sehemu mbalimbali za mwili kasoro kichwani! Wataalamu naombeni msaada hili jambo linanikera mno!
Zitakuwa NYEGE kama mwanaume kimbia kwa demu wako km ke go to yr bf.
 
Huyo mdudu ni hatari sasa inabidi umeze nyoka ili aende aka mfukuze huyo mdudu atoke nje au amle huko huko, ukisha mmeza nyoka acha mdomo wazi ili mdudu aone pa kutokea. Usipo pona nahama jf mimi
 
Pole sana fika hospital ufanyiwe uchunguz, kama utaweza njoo private tuzungumze vitu baadhi na tupeanee Ushauri,,,,,,
 
Magonjwa ya namna hiyo ndo utajua tz akuna madoctor watakwambia ni magonjwa ya akili na wakipima watakwambia una tatizo lolote madoctor wa kitanzania ni mambumbumbu wa kufa MTU nina uzoefu nao sana akili zao zinatosha kutibu malalia tu stupid manki
Duh
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom