Nahisi uzito mkubwa kifuani

Mgeni wa Mungu

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
1,233
1,289
Uzito nilionao una muda wa miezi 3 sasa ninauhisi kwenye kifua kwa ndani mpaka mizizi ya shingo inauma. Naombeni mnisaidie kwa tiba au ushauri, wengine wananambia ni gesi. Lakin naamini hapa nitapatiwa muafaka.

Natanguliza shukrani kwenu
 
Unamaanisha ninj unaposema uzito ndugu...hebu weka maelezo sawa vile unavyojisikia ili wataalam wakusaidie..maana binafsi nilivyoona uzito nilidhani ni uzito wa kgs bila shaka humaanishi uzito wa kilo so weka sawa maelezo ndugu na pole kwa ugonjwa
 
Mkuu uzito huu ni wa hisia kama kuna kitu nimebeba ndani ya kifua.
 
Pole sana kaka.Ni wazi kuwa una hofu kubwa (Fear).
Una hofu ya kupoteza kitu/mtu au kuonekana kwa mtazamo tofauti na unavyohitaji,Inaweza ikawa hofu ya uliowahi kuyafanya hapo awali au unayotarajia kufanya hapo baadae.
Chunguza na utambue nini chanzo cha hofu hiyo,ukiisha kuitambua Kiri uwepo na udhaifu juu yake halafu piga moyo konde.Use that as your point of reference not yo destination,Move forward.
 
Uzito nilionao una muda wa miezi 3 sasa ninauhisi kwenye kifua kwa ndani mpaka mizizi ya shingo inauma. Naombeni mnisaidie kwa tiba au ushauri, wengine wananambia ni gesi. Lakin naamini hapa nitapatiwa muafaka.

Natanguliza shukrani kwenu
Jaribu hii tiba mbadala tafuna kipande kimoja cha kitunguu saumu kila Unapoenda kulala
 
Nenda kwa Bulldozer anapatikana Vatcan City Hall pale Sinza atakusaidia tatizo lako!
 
Ahsante Mkuu, Nimetumia vitunguu saumu asubuhi na jioni vipande 8 umepungua sana, natanguliza shukrani zenu nyote. mungu awabariki
 
Back
Top Bottom