Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 1,822
- 5,448
Labda kuna wengine hawaifahamu TaESA.
Kwa urefu ni Tanzania Employment Services Agency, hii ni Unit ya serikali iliyopo chini ya ofisi ya waziri mkuu. TaESA ni jina la kwanza la hii organ, na wengi wanatumia jina hilo ingawa lilibadilishwa na kua "Employment Services Unit"
Kazi zake ni kama agencies wa ajira wanavyofanya isipokua hawa wanafanya absolutely free.
Wiki iliyopita, kuanzia alhamis mpaka jumamosi walifanyisha usaili kwa watu wa dodoma. Kabla ya hapo walifanya Dar, pia nimefahamu kuwa wameshafanya Ruvuma na Mbeya. Kwahyo bila shaka wanafanya kwa sehemu kubwa ya Tanzania kama sio nchi nzima.
Hisia zangu
Nahisi hili tatizo la ajira linaenda kutumiwa kisiasa. Maana taarifa zilisema ni usaili wa internship ya duration ya mwaka mmoja. Zingatia kua hii Unit imeanzishwa July mwaka jana (2018), was that a coincidence with the coming election...!!!??
Usaili huo haukutaja aina za nafasi zinazohitajika wala hakukua na specs za profession zinazohitajika, ilimradi una diploma yako ama degree, unakwenda kwenye usaili.
Wakiwa kwenye usaili watu waliambiwa "kama kuna mtu unamjua amesoma na yupo mtaani we mpigie aje ajiandikishe afanye interview"
Maengeneer wamejaa mtaani, walimu ndo usiseme, watu wa fani nyingine mbalimbali wamejaa tele.
Naamini kua kama lengo lisingekua kutafuta manufaa yakisiasa basi zingetangazwa ajira kama zile za walimu na watu wa afya zilivyotangazwa.
Nimejaribu kuwaza tuu...
By the wa na mimi nilienda kwenye usaili, nilipata gap kijiweni maana hakukua na gari yakuosha.