Nahisi tatizo la ajira linaenda kutumika kisiasa

Brian Spilner

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
1,822
5,448
Labda kuna wengine hawaifahamu TaESA.

Kwa urefu ni Tanzania Employment Services Agency, hii ni Unit ya serikali iliyopo chini ya ofisi ya waziri mkuu. TaESA ni jina la kwanza la hii organ, na wengi wanatumia jina hilo ingawa lilibadilishwa na kua "Employment Services Unit"
Kazi zake ni kama agencies wa ajira wanavyofanya isipokua hawa wanafanya absolutely free.

Wiki iliyopita, kuanzia alhamis mpaka jumamosi walifanyisha usaili kwa watu wa dodoma. Kabla ya hapo walifanya Dar, pia nimefahamu kuwa wameshafanya Ruvuma na Mbeya. Kwahyo bila shaka wanafanya kwa sehemu kubwa ya Tanzania kama sio nchi nzima.

Hisia zangu
Nahisi hili tatizo la ajira linaenda kutumiwa kisiasa. Maana taarifa zilisema ni usaili wa internship ya duration ya mwaka mmoja. Zingatia kua hii Unit imeanzishwa July mwaka jana (2018), was that a coincidence with the coming election...!!!??

Usaili huo haukutaja aina za nafasi zinazohitajika wala hakukua na specs za profession zinazohitajika, ilimradi una diploma yako ama degree, unakwenda kwenye usaili.

Wakiwa kwenye usaili watu waliambiwa "kama kuna mtu unamjua amesoma na yupo mtaani we mpigie aje ajiandikishe afanye interview"

Maengeneer wamejaa mtaani, walimu ndo usiseme, watu wa fani nyingine mbalimbali wamejaa tele.

Naamini kua kama lengo lisingekua kutafuta manufaa yakisiasa basi zingetangazwa ajira kama zile za walimu na watu wa afya zilivyotangazwa.

Nimejaribu kuwaza tuu...

By the wa na mimi nilienda kwenye usaili, nilipata gap kijiweni maana hakukua na gari yakuosha.
 
Labda kuna wengine hawaifahamu *TaESA*.

Kwa urefu ni Tanzania Employment Services Agency, hii ni Unit ya serikali iliyopo chini ya ofisi ya waziri mkuu. TaESA ni jina la kwanza la hii organ, na wengi wanatumia jina hilo ingawa lilibadilishwa na kua "*Employment Services Unit*"
Kazi zake ni kama agencies wa ajira wanavyofanya isipokua hawa wanafanya absolutely free.

Wiki iliyopita, kuanzia alhamis mpaka jumamosi walifanyisha usaili kwa watu wa dodoma. Kabla ya hapo walifanya Dar, pia nimefahamu kuwa wameshafanya Ruvuma na Mbeya. Kwahyo bila shaka wanafanya kwa sehemu kubwa ya Tanzania kama sio nchi nzima.

*Hisia zangu*
Nahisi hili tatizo la ajira linaenda kutumiwa kisiasa. Maana taarifa zilisema ni usaili wa internship ya duration ya mwaka mmoja. Zingatia kua hii Unit imeanzishwa July mwaka jana (2018), was that a coincidence with the coming election...!!!??

Usaili huo haukutaja aina za nafasi zinazohitajika wala hakukua na specs za profession zinazohitajika, ilimradi una diploma yako ama degree, unakwenda kwenye usaili.

Wakiwa kwenye usaili watu waliambiwa "kama kuna mtu unamjua amesoma na yupo mtaani we mpigie aje ajiandikishe afanye interview"

Maengeneer wamejaa mtaani, walimu ndo usiseme, watu wa fani nyingine mbalimbali wamejaa tele.

Naamini kua kama lengo lisingekua kutafuta manufaa yakisiasa basi zingetangazwa ajira kama zile za walimu na watu wa afya zilivyotangazwa.

Nimejaribu kuwaza tuu...

By the wa na mimi nilienda kwenye usaili, nilipata gap kijiweni maana hakukua na gari yakuosha.
Serikali yetu pendwa itawaajiri tu baada ya hayo mafunzo....Wala msihofu vijana kwanza tunawatambua na kujua wangapi hawana Ajira kwa hiyo ni rahisi kuwapa kazi.Msihofu tunatambua mwahitaji Ajira.
 
Mkuu hata mimi nilihisi hivyo mapema mno...picha linaanza jamaa alivoingia mwaka wa pili....yaani mind yangu nshaitoa huko...naona bora nijiajiri tu...maana wanaonitegemea ni wengi na nikiendelea kusubiri jamaa aachie ajira nta-perish
 
Sio kweli,we jiajiri..
 
Wewe kijana uliyemaliza chuo acha kabisa ndoto za kuajiriwa. Tafuta vibarua, jibane kwenye kipato chochote unachobahatika mpaka upate kamtaji ka kuanza shughuli. Tafuta shamba ulime wakati unaendelea na mishemishe town. Ukafuatilie palizi na ukivuna hizo pesa usitumie hovyo. Swalu kuu ni je, UNAYO NIDHAMU YA KUTUNZA PESA?
 
Unayesema hivyo upo Serikalini unalipwa Salary
 
Wewe kijana uliyemaliza chuo acha kabisa ndoto za kuajiriwa. Tafuta vibarua, jibane kwenye kipato chochote unachobahatika mpaka upate kamtaji ka kuanza shughuli. Tafuta shamba ulime wakati unaendelea na mishemishe town. Ukafuatilie palizi na ukivuna hizo pesa usitumie hovyo. Swalu kuu ni je, UNAYO NIDHAMU YA KUTUNZA PESA?
Ni rahisi sana kuandika nadharia
 
Serikali yetu pendwa itawaajiri tu baada ya hayo mafunzo....Wala msihofu vijana kwanza tunawatambua na kujua wangapi hawana Ajira kwa hiyo ni rahisi kuwapa kazi.Msihofu tunatambua mwahitaji Ajira.
Nina mashaka kua ninaweza kua na maisha nafuu kuliko wewe uliyetoa hii comment. Itumie hiyo reply yako kujifariji mwenyewe pia.
 
Kivip mkuu
Sheria ipo wazi kwamba vibali vya ajira kwa wageni vitolewe kwa kada ambazo haziwezi kushikwa na watz, ila hadi kazi wa umeneja wageni wanapewa vibali, kisa wanahonga uhamiaji. Bidhaa feki na zenye ubora hafifu zinaingizwa nchini na kuua viwanda vya ndani na kupunguza ajira, kisa wanahonga TBS, the connection is so obvious.
 
Back
Top Bottom