Labda unapenda usipopendwa .............. Penda unapopendwa hiyo ndio siri ya kudumu katika mahusiano yoyote
Wala usilie mama tupo wengi tyuu....
Yaani mtu ajiachie hovyo hovyo kwa wanaume halafu mseme "Mungu ana makusudi yake...." mungu gani huyo mnaemsema....!? Acheni hizo tulizeni hivyo vipochi manyoya vyenu muone kama hamjapata watu wenye busara zao. Tatizo mnajidanganya kumu-win mwanaume ni kumvulia chupi, wengine hatuko hivyo, ukinivulia kirahisi rahisi thamani yako inashuka, na kama nilikuwa na malengi flani, nayafuta. By the way, kwani usipofanya hayo mambo unakufa......!?
Umeongea point mheshimiwa
Unaonekana unabusara sana, siku ukimpata shemeji yangu niunganishe nae nimjaze imani na mazuri yako
Kumbe na wewe umegundua hilo mkuu, mi nilishamgundua zamani tu, ni kweli ni binti mtulivu, anajitambua, ana heshima na busara si uongo mkuu, sema ni haya mambo tu ya fake IDs lakini anaonekana ni wife material
Ni vile tu nimeishaoa, otherwise ningekomaa naye tuonane nijiridhishe na physical appearance then naweka kitu ndani bila kusita.
Mkuu changamkia tenda kama wewe bado hujaoa
CC Heaven Sent
Kupenda unapopendwa napo ni shughuli!! Unajikuta unahangaikaaaa na yule asokupenda maana wewe ndio umependa, kule unakopendwa hata ukijilazimisha inashindikana, duuuh haya mapenzi acheni tu!
Mara nyingine nawahurumia viumbe wa kike. I feel your sorrows asee. Unapofikia wakati mtu yupo desperate kuolewa, hakika utamhurumia, lakini pia wanaume wengi wakiona mtu yupo desperate nao huamua kumtumia na kumuacha. Poor ladies!
Ila wanaume bhana,why taking all the blame to women?!ndo mana huwa mnakatwa hivyo vibamia vyenu,mnawatumia watoto wa watu,mkitosheka mnawaacha mnawaita Malaya while wenzenu walifanya kwa upendo wala sio starehe Kama mnavyowachukulia,Kama huna malengo na mtu mwache apite usimsemeshe,just assume it's your dauta/sister being played that way would you be happy?! Sasa malipo ni hpahpa duniani Kama usipolipa wewe tambua hata kizazi chako cha 4&5 kitakulipia(kitaumizwa pia)
Na mnavyochezea wanawake mkae mkijua na wake zenu watarajiwa wanachezewa hvyo hvyo,so mkioa mjue mnaoa Malaya pia. Mashimba1,metenyeki
Kumbe na wewe umegundua hilo mkuu, mi nilishamgundua zamani tu, ni kweli ni binti mtulivu, anajitambua, ana heshima na busara si uongo mkuu, sema ni haya mambo tu ya fake IDs lakini anaonekana ni wife material
Ni vile tu nimeishaoa, otherwise ningekomaa naye tuonane nijiridhishe na physical appearance then naweka kitu ndani bila kusita.
Mkuu changamkia tenda kama wewe bado hujaoa
CC Heaven Sent
mito, kama upo single na unahitaji mtu, I'd recommend this lady. Wengine huo mlango tulishafunga kwa hiyo tunawaonyesha wenzetu ambao bado kuingia huko.
my pleasure Heaven Sent, nina uhakika yaliyomo yamo...Hahaha Eli79 Ahsante kwa hii promo, ila sina uhakika kama umeilipia. Usije ukafanya watu waanze kunitafuta bure mie afu wakute yaliyomo simo, waje kunitangaza humu, ntahama nchi teh teh teh... just kidding. Thanks much
Na wanaume wengi unakuta wako after sexual tu wakiwa na haja zao wana act utakatifu. Bora wanaume ka hawana future na mtu waseme wanajichumia milaana ya ajabu tu bure.Mkuu una mtazamo kama wangu. Kwa kweli mi hii ni mojawapo ya sababu ilinifanya niachane na tabia ya kuwa na msululu wa wadada, nilikuwa nawaonea huruma sana hadi najifeel guilty kumlala wakati najua napita tu. Nikaamua kutulizana kabisaaaa!!!