...nahisi nina tabia za kike!

Hapo kwenye zawadi ya pipi naomba na mimi nikupatie zawadi ya liperemende bila shaka uta ridhika!
 
Mh!!! kazi kwelikweli, maana sijui tukusaidie vipi. Ila ushauri wangu.....mimi nakushauri umpende sana mkeo ndugu maana naona ndio solution iliyobaki
 
punga@work
 
Usiumize kichwa kila mtu awe mwanamke au mwanaume kuna mambo anapendwa afanyiwe na mpenzi wake ajihisi vizuri na kupendwa na mpenzi wake. Hivyo ndo baadhi ya vitu wewe unavyopenda kuvihisi ukiwa na umpendae. Kwani mpenzi wako kakwambia hataki uwe hivyo? Na kama ukijaribu kujibadirisha hautafuhia mapenzi hata siku moja kwa sababu you will not be real u but another person. I think your lady is enjoying sababu unajua vitu unavyotakiwa kumuonyesha umpendae.
 
Kwa hizi sifa ulizojiwekea sioni hata moja yenye identity ya kike,hebu endelea kufunguka tukusaidie.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…