Hata mapenzi yana maarifa yake mr kwisha ,jitathmini kwa hayo unayosema βsipendagi kisumbuliwa au kubembeleza sanaβYani sasa hivi nina miezi 7 sina mchumba kila ninaye mtongoza lazima asumbuwe
Na sipendagi kusumbuliwa au kumbembeleza sana
Naishi maisha ya kununua tu za barabarani
Naombeni connexion za waganga naona kabisa kwa hatua ambayo nimefikia nahisi nitakuwa nimetupiwa jini mimi kabisa
Sio bure
Kwanza tafuta pesa mkuu,badili muonekano na mienendo huenda tabia na general appearance inakuharibiaYani sasa hivi nina miezi 7 sina mchumba, kila ninayemtongoza lazima asumbue, na huwa sipendi kusumbuliwa au kumbembeleza sana. Naishi maisha ya kununua tu za barabarani.
Naombeni "Connexion" za waganga naona kabisa kwa hatua ambayo nimefikia nahisi nitakuwa nimetupiwa jini mimi kabisa, siyo bure!
[emoji23][emoji23][emoji1666][emoji1666]wew jiwekee ratiba kwa cku tongoz ata madem 10 ndani ya mwez huwez kosa bandugu
na dem akikataa tongoza ata familia nzimaa
Usiwaze kwenda kwa sangoma, amini wakati sahihi ukifika basi utampata mtu sahihi. Endelea kutafuta dough inanogesha upendo.Huna tofaut na mimi mkuu...nipo kweny hatua za mwsho ...nitaenda kwa mtaalamu..nahc kuna mwanamke kanirushia pepo la kukataliwa maana hata kazi zile za kawaida zinanitolea nje...kweny appearanc sina shaka kweny hilo due pamba nabadili daily na wala sina ile sura pasono..hili wala sihitaj ushauri..nahitaj tu mganga konki...period
Aah kwa kwel hapa lazma sangoma ahusikee....kuna mshenz huko aliko atakuwa anafurahia kuona mpngo wake umefaulu...imagn unamsalimia dada tu hata huna baya nae ila anatokea tu kusonya as if umemtukana...nahc labda nainekana ka kinyesi kwao...hili siwez endelea kulivumilia..kama ni hela hilo haliwez kuwa tatizo cz zipo za kubadili mbogaUsiwaze kwenda kwa sangoma, amini wakati sahihi ukifika basi utampata mtu sahihi. Endelea kutafuta dough inanogesha upendo.